Dukani
Rudi Dukani

Wasiliana nasi

Unahitaji msaada kuanza kutumia Dukani, kuchagua kifurushi au kutatua tatizo? Wasiliana na timu yetu kupitia WhatsApp au barua pepe.

WhatsApp

+255 610 154 753

Tuma ujumbe WhatsApp

Barua pepe

info@dukaniapp.com

Kwa maswali kuhusu usajili, malipo, faragha au msaada wa app.

Unapotafuta msaada

Tueleze tatizo, aina ya simu yako (Android au iPhone) na hatua ulizochukua. Ukiambatisha picha ya skrini, ficha taarifa binafsi na za wateja. Usitume nenosiri, PIN au msimbo wa uthibitishaji.